![]() |
|
Msanii
maarufu nchini Congo Fally Ipupa amenusulika kufa baada ya kupata ajali mbaya
ya gari majira ya usiku wa tarehe 7/1/2014, Hakuna mtu aliyekufa kwenye ajali
hiyo.
|
![]() |
| Ila kuna mama ambae unamuona kwenye picha hapo chini aliumia vibaya sana na kukimbizwa hoptitali ambapo anapata matibabu mpaka sasa. |









No comments:
Post a Comment