Mazishi rasmi ya Nelson Mandela jumapili (Desemba 15,2013) kuhuhudhuriwa na watu elfu tano huku"Kamera kutoruhusiwa wakati wa Mazishi. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, December 14, 2013

Mazishi rasmi ya Nelson Mandela jumapili (Desemba 15,2013) kuhuhudhuriwa na watu elfu tano huku"Kamera kutoruhusiwa wakati wa Mazishi.


Umati wa watu wakiwa kwenye foleni ya kuingia kutoa heshima ya mwisho kwa mwili wa Rais wa Kwanza Mzalendo wa Afrika Kusini, Nelson Mandela katika Ikulu ya Pretoria, jana(Desemba 13,2013) na Maiti ya Nelson Mandela itasafirishwa kwa ndege leo(Desemba 14,2013) alfajiri hadi katika kijiji alikozaliwa cha Qunu alikousia mwenyewe ndiko anakotaka akazikwe.


Mazishi rasmi ya jumapili (Desemba 15,2013) yatahudhuriwa na watu kama elfu tano hivi wakiwemo pia viongozi mashuhuri wa kimataifa ikiwa ni pamoja na mwanamfalme Charles wa Uingereza.
"Kamera hazitaruhusiwa wakati wa mazishi, familia haitaki watu waone maiti itakapoteremshwa kaburini," amesema msemaji wa serikali Phumla William. Vyombo vya habari na wageni wa hishma hawatoweza kuhudhuria, amesisitiza.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad