Cheki Picha ya Mtu mmoja ameonekana juu ya mnara wa simu akitaka kujitupa chini kisa maisha yamemshinda, mtu huyo pia alidai anataka kumuona Rais Kikwete. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, December 31, 2013

Cheki Picha ya Mtu mmoja ameonekana juu ya mnara wa simu akitaka kujitupa chini kisa maisha yamemshinda, mtu huyo pia alidai anataka kumuona Rais Kikwete.

Katika hali isiyo ya kawaidia maeneo ya Ubungo jijini Dar es Salaam mtu mmoja ameonekana juu ya mnara wa simu akitaka kujitupa chini kisa maisha yamemshinda, mtu huyo pia alidai anataka kumuona Rais.. alisikika akiyasema maneno hayo... tazama hapa tukio kamili.


Kikosi cha Polisi kikifanya jitihada za kupanda juu na kumnusuru mtu huyo kwa kufanikiwa kumtelemsha .

Mashuhuda wakiwa wanashuhudia jinsi jamaa huyo anavyo taka kujitupa kutoka juu kwenye mnara wa Vodacom-Ubungo Dar es salaam.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad