AJALI:- Majeruhi 26 wa ajali ya basi la Urafiki wanaendelea vizuri. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, December 04, 2013

AJALI:- Majeruhi 26 wa ajali ya basi la Urafiki wanaendelea vizuri.

Katika ajali iliyotokea jana maeneo ya Isimani ikilihusisha basi la Urafiki na kusababisha watu 26 kujeruhiwa huku wengine watatu wakiwa katika hali mbaya ambao ni dereva, konda wa basi hilo na abiria mmoja. Mpaka sasa majeruhi hao 26 wanaendelea vizuri na bado wanapewa matibabu.



Wakazi wa kijiji cha Ndolela Tarafa ya Isimani wilaya Iringa vijijini wakiangalia ajali ya Basi la abiria la Urafiki  T 594 ABM lililoanguka kijijini hapo jana  likitokea Iringa kuelekea Dodoma. PICHA NA SAID NG'AMILO.

2 comments:

Post Bottom Ad