VPL 2013/2014:-Raundi ya Kwanza ikimalizika ni Mabingwa watetezi Yanga SC kileleni huku Azam FC na Mbeya City hakuna mbabe.ma ngumu. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, November 07, 2013

VPL 2013/2014:-Raundi ya Kwanza ikimalizika ni Mabingwa watetezi Yanga SC kileleni huku Azam FC na Mbeya City hakuna mbabe.ma ngumu.


Bao la kwanza la Azam leo (Novemba 07,2013)  Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, hadi mapumziko, timu hizo zilikuwa zimekwishafungana bao 1-1, Azam FC wakitangulia kupata bao kupitia kwa Humphrey Mieno dakika ya 13 na Mbeya City wakasawazisha kupitia kwa Mwagane Yeya ‘Morgan’ dakika ya 30.

Mabingwa Watetezi wa Ligi kuu Soka Tanzania bara,Yanga SC, leo(Novembe 07,2013) wameitwanga JKT Oljoro Bao 3-0  ,mchezo ukichezwa katika Uwanja wa Taifa, Dar esSalaam na kukwea kwenye kilele cha  Ligi Kuu Vodacom, ambayo sasa imemaliza Mechi zake za Raundi ya Kwanza na inaenda Mapumzikoni hadi Tarehe 25 Januari 2014.

Bao za Yanga hii leo zilifungwa na Simon Msuva, Dakika ya 23, Mrisho Ngassa, Dakika ya 30, na Jerry Tegete, alietoka Benchi, Dakika ya 54.

Huko Uwanja wa Azam Complex, Chamazi,Azam FC katika mchezo wake imetoka sare ya 3-3 na Mbeya City, Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. 

Yanga sasa wana Pointi 28 na kufuatiwa na Azam FC na Mbeya City, ambazo zote zina Pointi 27, baada ya leo  kutoka Sare Bao 3-3 huko Azam Complex, Dar es Salaam.


LIGI KUU VODACOM 2013/2014 MSIMAMO.

NO
TEAMS
P
W
D
L
GF
GA
GD
PTS
1
Young Africans
13
8
4
1
31
11
20
28
2
Azam FC
13
7
6
0
23
10
13
27
3
Mbeya City
13
7
6
0
20
11
9
27
4
Simba SC
13
6
6
1
26
13
13
24
5
Kagera Sugar
13
5
5
3
15
10
3
20
6
Mtibwa Sugar
13
5
5
3
19
17
2
20
7
Ruvu Shootings
13
4
5
4
15
15
0
17
8
Coastal Union
13
3
7
3
10
7
3
16
9
JKT Ruvu
13
5
0
8
10
16
-6
15
10
Rhino Rangers
12
2
4
6
9
16
-7
10
11
JKT Oljoro
13
2
4
7
9
19
-10
10
12
Ashanti United
13
2
4
7
12
24
-12
10
13
Tanzania Prisons
12
1
5
6
6
16
-10
8
14
Mgambo JKT
13
1
3
9
3
23
-20
6




LIGI KUU VODACOM 2013/2014 RATIBA RAUNDI YA PILI
25 Januari 2014.

Ashanti United v Yanga

Azam FC v Mtibwa Sugar

Coastal Union v JKT Oljoro

Kagera Sugar v Mbeya City

Tanzania Prisons v Ruvu Shootings

JKT Ruvu v Mgambo JKT

Simba v Rhino Rangers




No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad