![]() |
|
Peter na Paul Okoye wa kundi la P-Square
wakilivamia jukwaa la Leaders usiku wa Jana (Novemba 23,2013) .…Jijini Dar es
Salaam.
|
![]() |
|
Mashabiki
wakipagawa na shoo ya P-Square….katika Viwanja vya Leaders usiku wa Jana (Novemba
23,2013) .…Jijini Dar es Salaam.
|
![]() |
|
Mwanamuziki Judith Wambura 'Lady Jaydee' au
'Anaconda' akiwapagawisha mashabiki wake waliohudhuria katika Viwanja vya
Leaders Club jana.
|
![]() |
|
Mwanamuziki Judith Wambura 'Lady Jaydee' au
'Anaconda' akiwapagawisha mashabiki wake waliohudhuria katika Viwanja vya
Leaders Club Jana usiku (Novemba 23,2013) katika shoo wa wakali P-Square.…
|
![]() |
|
Machozi Band
nao walikuwepo kumback up Jide.
|
![]() |
|
Mwanamuziki Ben Pol akiwasha moto katika steji
ndani ya Viwanja vya Leaders usiku wa jana katika shoo ya P-Square Live in Dar.…
|
![]() |
|
Ben Pol
akiimba sambamba na mwanadada… katika steji ndani ya Viwanja vya Leaders jana
usiku katika shoo ya P-Square Live in Dar.…
|
![]() |
|
Mwanamuziki Joseph Haule 'Profesa Jay'
akiwapagawisha vilivyo mashabiki waliohudhuria shoo ya P-Square Live in Dar
ndani ya Viwanja vya Leaders Club vilivyopo Kinondoni jijini Dar.
|
![]() |
|
Nikki wa Pili (kushoto) na G Nako wakifanya
yao…stejini kabla P-Square hawajapanda .
|
![]() |
|
Kundi la Weusi
likiongozwa na Joh Makini likishambulia jukwaa la Leaders Club kabla P-Square
hawajapanda usiku huu.
|


















No comments:
Post a Comment