![]() |
| Joseph Mathenge. |
Matukio
ndani ya jumba la kibiashara la Westgate yamesalia tu mingong'ono na
kubahatisha huku waandishi wa habari wakiwekwa mbali kabisa na eneo la mkasa.
Lakini
kiza hicho kimekatizwa na ujasiri wa mkenya mmoja, Joseph Mathenge, ambaye
alihimili milio ya risasi ili kuweza
kunasa
picha za video na zinginezo ambazo zimejuza ulimwengu mzima jinsi mambo
yalivyokuwa ndani ya jumba la Westgate pamoja na shughuli za uokoaji.
Mwanahabari
wa runinga ya The Citizen, Faiza Maganga anatupasha zaidi katika video
iliyopachikwa hapo chini.






No comments:
Post a Comment