Hivi ndivyo Basi la Lushanga Lilivyoteketea kwa Moto wilayani Kibondo Mkoani Kigoma. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, August 03, 2013

Hivi ndivyo Basi la Lushanga Lilivyoteketea kwa Moto wilayani Kibondo Mkoani Kigoma.


Basi hili la Kampuni ya Lushanga namba T 972 AXQ linalofanya safari kutoka wilayani Kibondo mkoani Kigoma kwenda Jijini Mwanza limeteketea kwa moto hapo jana (Agosti 02,2013) majira ya Usiku wa saa Moja, eneo la standi ya zamani Kibondo mjini.



Baadhi ya mashuhuda wanasema kuwa  basi hilo lilikuwa limepaki na kwamba limeteketea kabisa na  bado hajafahamu chanzo chake.

Basi la Kampuni ya Lushanga namba T 972 AXQ linalofanya safari kutoka wilayani Kibondo mkoani Kigoma kwenda Jijini Mwanza likionekana kwa nyuma baada ya kuteketea kabisa kwa moto hapo jana (Agosti 02,2013) majira ya Usiku wa saa Moja, eneo la standi ya zamani Kibondo mjini.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad