![]() |
|
Askari akiwa amebebwa baada ya kujeruhiwa
wakati wa ziara ya Mchezaji Maarufu Duniani David Beckham huko nchini China katika
chuo Tongji University kilichopo Shngahi.
|
![]() |
| Chini ni mmoja wa Majeruhi 7 waliojeruhiwa
wakati wa ziara ya Mchezaji Maarufu Duniani David Beckham huko nchini China katika
chuo Tongji University kilichopo Shngahi. |
Ziara ya Mchezaji Maarufu Duniani David Beckham huko nchini China
katika chuo Tongji University kilichopo Shngahi imeleta maafa baada wanafunzi watano na polisi
wawili kujeruhiwa kutoka wingi wa watu waliokuwa wakitaka japo kumuona staa
huyo wa soka duniani.
Mchezaji huyo wa zamani wa Klabu ya Manchester United ya nchini
Uingereza na Real Madrid ya Hispania ,alikuwa akutane na wanafunzi wa chuo hicho
ambao ni wanasoka ikiwa ni moja ya kazi zake atakazofanya China katika dili
lake la kuipromoti ligi kuu ya nchi hiyo.










No comments:
Post a Comment