![]() |
|
Wachezaji wa
Brazili wakishangilia mabao kwa wakati tofauti ndani ya uwanja wa Estadio
Nacional de Brasilia Mjini Brasilia kwa kuwatandika Mabingwa wa Asia Japan Bao
3-0.
|
Hapo jana
(Juni 15,2013) Usiku kwenye mchezo wa Ufunguzi wa Kombe la MABARA ,Wenyeji Brazil walianza
kwa kishindo Mechi yao ya KUNDI A iliyochezwa uwanja wa Estadio Nacional de
Brasilia Mjini Brasilia kwa kuwatandika Mabingwa wa Asia Japan Bao 3-0.
Bao za
Brazil zilifungwa na Neymar, kwa Bao safi sana la Dakika ya 3 tu, na Paulinho
kupiga Bao la Pili katika Dakika ya 48 na Jo kufunga la mwisho katika Dakika za
Majeruhi.
Leo (JUNI
16,2013) Usiku zipo Mechi mbili kati ya Mexico v Italy, KUNDI A kasha kufuatiwa na Mechi ya KUNDI B kati ya Mabingwa wa Dunia Spain v
Uruguay.
MAKUNDI: - KOMBE
LA MABARA
KUNDI A:
-Brazil
-Japan
-Mexico
-Italy
KUNDI B:
-Spain
-Uruguay
-Tahiti
-Nigeria
RATIBA/MATOKEO:-
JUNI 16,2013.
Saa 4 Usiku
Mexico v
Italy [Rio De Janeiro]
Saa 7 Usiku
Spain v
Uruguay [Recife]
JUNI
17,2013.
Saa 4 Usiku
Tahiti v
Nigeria [Belo Horizonte]








No comments:
Post a Comment