Ni Picha za muonekano huo mpya wa Bandari ya Kisiwani Zanzibar....!! - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, June 26, 2013

Ni Picha za muonekano huo mpya wa Bandari ya Kisiwani Zanzibar....!!


Hii ni hatua nzuri ya maendeleo kwa nchi nzima....ukiangalia kwa  umakini picha hizi kwa ghafla  unaweza usiamini kama ni Zanzibar labda baadhi ya muonekano wa  juu utagundua ndio kisiwani Zanzibar...


Maendeleo yaliyokuwepo kwenye bandari hii ni makubwa sana  ukilinganisha na Bandari ya zamani  ilivyokuwa inaonekana lakini kwa sasa ni kitu kingine,ukifika  bandarini hapo unaweza ukasahau  kama upo kisiwani hapo...!

Ni maendeleo makubwa kabisa kwa kisiwani zanzibar na ni  mfano wa kuigwa kokote pale kwa hatua waliyopiga....



Zifuatazo Ni Picha za muonekano huo mpya wa Bandari ya Kisiwani  Zanzibar....!! Inasemekana Mmiliki wa Azam Ndugu Bakhresa ndio aliedhamini  mchakato mzima wa kutengenezwa kwa bandari hiyo...!!

PONGEZI KUBWA KWA ZANZIBAR















No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad