Umati wa
watu ukiwa umekusanyika nyumbani kwakina
Barnaba kutoa heshima za
mwisho..!
|
Msanii Barnaba
akiagana na Mama ake kwa mara ya mwisho.....ambapo huzuni na sintoamini utawala
kipindi hiki inapofika kuagana mara ya
mwisho na mpendwa wako....
|
Joh Makini
baada ya Kuaga Mwili na kutoa heshima za
mwisho..nyumbani kwakina Barnaba .
|
Baadhi ya
wanakikundi wanaounda Tanzania House of Talent (T.H.T) baada ya Kuaga Mwili na kutoa heshima za mwisho..nyumbani kwakina Barnaba .
|
Mwili ukiwa
umepakiwa tayari kabisa kuelekea makaburini
kwa ajili ya maziko kumpumzisha Mama....!!
|
Hapa mwili
ukiwa umewasili makaburini tayari kabisa kwa maziko...!
|
Barnaba
akitupa mchanga wa mwisho kwenye kaburi la marehemu mama yake.
|
Barnaba
akionekana kuishiwa na nguvu kabisa mpaka kufikia hatua ya kutokuweza kusimama,ilibidi
asaidiwe...!!
|
Hali ile ya
uchungu na kulia sana ilipelekea Barnaba kukosa
nguvu na kuzimia kwa dakika kadhaa...
|
Baada ya
kuzinduka akisaidiwa kuingia kwenye gari kuwaishwa Hospital kutokana na
kupoteza nguvu kabisa...!!
|
Mume wa Bi
Mariamu Arubeth akisimika msalaba kaburini...!!
|
Umati wa
waombolezaji wakitawanyika makaburini baada ya shuguli ya mazishi
kukamilika...!!
|
No comments:
Post a Comment