PICHA: Tazama Viongozi wanapogongana Ziarani . - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, May 12, 2013

PICHA: Tazama Viongozi wanapogongana Ziarani .


Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni (KUB), Freeman Mbowe akisalimiana na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Goodluck Ole Medeye. 


Viongozi hao walikutana juzi(May 10,2013) eneo la Bomang'ombe, wilayani Hai, kila mtu akiwa katika ziara yake. Wakati Mbowe alikuwa anaendelea na ziara ya kuzungukia wananchi latika vijiji mbalimbali jimboni kwake Hai, Medeye alikuwa katika ziara yake binafsi maeneo ya jimbo hilo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad