Mtu mmoja amefariki dunia katika ajali iliyotokea wilayani Rungwe baada ya Lori lenye namba T.376 BXD kupoteza mwelekeo. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, May 13, 2013

Mtu mmoja amefariki dunia katika ajali iliyotokea wilayani Rungwe baada ya Lori lenye namba T.376 BXD kupoteza mwelekeo.


Hivi ndivyo ilivyokuwa kwa ajali iliyotokea wilayani Rungwe katika mteremko wa uwanja wa ndege baada ya Lori lenye namba T.376 BXD kupoteza mwelekeo.




Mtu mmoja amefariki dunia katika ajali iliyotokea wilayani Rungwe katika mteremko wa uwanja wa ndege baada ya Lori lenye namba T. 376 BXD kupoteza mwelekeo baada ya breki kushindwa kufanya kazi ambapo lorii hilo lilikwenda kulivamia lori jingine bobu kanda ya barabara na kulifanya liingie mtoni.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad