Watu kadhaa wajeruhiwa baada ya ajali kutokea eneo la Mboga karibu na Chalinze huku Magari nayo yakiharibika Vibaya. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, April 30, 2013

Watu kadhaa wajeruhiwa baada ya ajali kutokea eneo la Mboga karibu na Chalinze huku Magari nayo yakiharibika Vibaya.


Basi aina ya Coaster likiwa limeharibika vibaya baada ya ajali kutokea  eneo la Mboga karibu na Chalinze na watu kadhaa Kujeruhiwa Vibaya.



Pichani ni Namba za gari ndogo iliyosababisha ajali hiyo.



Majeruhi wa Ajali hiyo wakiwahishwa Hospitalini kupata matibabu.


 Pichani ni Kichwa cha Lori kilichogongana na Coaster.


Hawa ni Vibaka waliokamatwa wakitaka Kuiba Mali za Abiria.



Wanaonekana ni Majeruhi wa Ajali hiyo akiwemo Konda wa basi hilo dogo alietenguka Kiuno na Mama aliyekatika mguu.



 Pichani ni Jina la COASTER  hiyo iliyopata ajalai.




Picha kwa hisani ya djsek blog.




No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad