Takwimu za TACAIDS kuhusiana na maambujkizi ya VVU (HIV) kwa mwaka 2011/2012. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, April 05, 2013

Takwimu za TACAIDS kuhusiana na maambujkizi ya VVU (HIV) kwa mwaka 2011/2012.



Mikoa 10 inyoongoza kwa maambukizi ya VVU (HIV):-



1. Njombe (14%)

2. Iringa (9.1%)

3. Mbeya (9%)

4. Mara (7.5%)

5. Ruvuma (7%)

6. Dar es Salaam (6.9%)

7. Rukwa (6.2%)

8. Katavi (5.9%)

9. Pwani (5.9%) na
10. Tabora (5.1)




Mikoa 5 inayoongoza kwa mwanaume mmoja kutembea na zaidi ya wanawake watano:-
 


1. Geita (32%)

2. Lindi (30%)

3. Dar es Salaam (29%)

4. Iringa (27%) na

5. Mtwara (22%)



Mikoa 5 inayoongoza kuwa na wanaume wasiotahiriwa ni:-



1. Njombe (49%)

2. Katavi (44%)

3. Kagera (39%)

4. Mbeya (38) na

5. Rukwa(28%).



Kwa mujibu wa utafiti, hali ya maambukizi imepungua ambapo idadi ya watu na maambukizi ni asilimia 5.1 kutoka 5.8 ya mwaka 2008.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad