![]() |
Kwa matokeo
hayo Manchester United sasa wametupwa nje ya Mashindano ya UEFA kwa Jumla ya Bao 3-2 katika Mechi mbili na
Real Madrid .
|
Katika mchezo
mwingine wa UEFA wa hatua ya 16
bora,Borussia Dortmund walipata ushindi wa bao 3-0 na kuwafanya Borussia Dortmund kutinga Robo
Fainali kwa kuitoa Shakhtar Donetsk katika Mechi ya Marudiano kwa Jumla ya Bao
5-2 katika Mechi mbili.
![]() |
Roman
Weidenfeller
|
Bao 2 ndani
ya Dakika 6 za Felipe Santana na Mario Goetze na Bao la 3 la Jakub
Blaszczykowski liliwahakikishia Dortmund ushindio huo.
RATIBA:
Jumatano 6
Machi 2013
Juventus v
Celtic [3-0]
Paris St
Germain v Valencia [2-1]
Jumanne 12
Machi 2013
Barcelona v
AC Milan [0-2]
Schalke v
Galatasaray [1-1]
Jumatano 13
Machi 2013
Bayern
Munich v Arsenal [3-1]
Malaga v FC
Porto [1-0]
No comments:
Post a Comment