Watu wanane wamekufa maji na wengine 60 kuokolewa katika ajali ya boti iliyozama kwenye Ziwa Tanganyika mkoani Katavi wakati ikitokea Mkoa wa Katavi kuelekea Nchini Burundi.
Chanzo cha
ajali hiyo kimelezwa kuwa ni upepo mkali uliopiga boti hiyo na kugonga mwamba
na baadaye kuzama.
Aidha jumla
ya watu 25 bado hawajulikani walipo kufuatia ajali hiyo.
Habari:Radio Kwizera.
No comments:
Post a Comment