Kama
inavyoonekana pichani Bus la NewForce likiwa limepinduka kijiji cha nyororo
mkoani Iringa.
|
Bus la
NewForce likivutwa ili likae sawa barabarani baada ya ajali.
|
Mizigo
ikitolewa ndani ya Bus baada ya kupinduka
|
Mwanamke
anaonekana kwa mbali hapo akiwa ameanguka kutokana na bus kupinduka hivyo
kukosa mwelekeo wa kujiokoa.
|
No comments:
Post a Comment