Ngarawa
mbili za mbele zikichuana
vikali katika mashindano yalio fanyika
huko forodha mchanga ikiwa ni
shamra
shamra za miaka 49
ya
Mapinduzi ya Zanzibar.
|
Tunataraji
wadau wa maendeleo huko Zanzibar na Tanzania yote kwa ujumla wataitumia siku
hii kukaa pamoja na kutafakari mapinduzi
ya kweli tunayoihitaji katika nchi yetu ili kuboresha maisha na uchumi wetu ili
tufika mbali zaidi ya hapa tulipo leo.
Ngarawa
mbili za mbele zikichuana
vikali katika mashindano yalio fanyika
huko forodha mchanga ikiwa ni
shamra
shamra za miaka 49
ya
Mapinduzi ya Zanzibar.
|
Tujifunze
mazuri toka kwa viongozi waliotangulia ili Tuifanye nchi yetu kuwa ya Amani na
Utulivu wakati wote’’.
Aidha Mwana
wa Makonda Blog, itazidi kukuletea
habari ili kujua wenzetu wapo wapi, walifikaje na wanaelekea wapi Katika
maendeleo ya nchi.
Pamoja Daima.
MOHAMED
R. MAKONDA
DIRECTOR-MWANAWAMAKONDA
BLOG
No comments:
Post a Comment