Ligi kuu soka Uingereza inarejea kilingeni Wikiendi hii baada ya kuzipisha Mechi za Raundi ya 3 ya FA CUP Wikiendi iliyopita na Mechi zenye mvuto ni zile BIGI MECHI mbili zitakazochezwa Jumapili, Man United v Liverpool, na Arsenal v Man City. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, January 12, 2013

Ligi kuu soka Uingereza inarejea kilingeni Wikiendi hii baada ya kuzipisha Mechi za Raundi ya 3 ya FA CUP Wikiendi iliyopita na Mechi zenye mvuto ni zile BIGI MECHI mbili zitakazochezwa Jumapili, Man United v Liverpool, na Arsenal v Man City.



RATIBA:



Jumamosi 12 Januari 2013



[SAA 12 Jioni]

Aston Villa v Southampton

Everton v Swansea

Fulham v Wigan

Norwich v Newcastle

Reading v West Brom

Stoke v Chelsea

Sunderland v West Ham


Jumapili 13 Januari 2013



[SAA 10 na Nusu Jioni]

Man United v Liverpool


[SAA 1 Usiku]

Arsenal v Man City


Jumatatu 14 Januari 2013



[SAA 5 Usiku]

QPR v Tottenham

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad