Tazama Picha jinsi Nyumbani kwa Marehemu SAJUKI …. Mungu ailaze roho ya marehemu Juma Kilowoko (Sajuki) mahala pema peponi, Amen. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, January 03, 2013

Tazama Picha jinsi Nyumbani kwa Marehemu SAJUKI …. Mungu ailaze roho ya marehemu Juma Kilowoko (Sajuki) mahala pema peponi, Amen.


MKE WA MAREHEMU JUMA A.K.A SAJUKI WASTARA,,YAANI NKIITIZAMA HII PICHA MACHOZI YANNITOKA NA MOYO UNANIUMA,POLE SANA WASTARA!!


DADA YAKE MKUBWA MAREHEMU SAJUKI.

BABA WA MAREHEMU JUMA KILOWOKO A.K.A SAJUKI.

BIBI WA MAREHEMU.

SAJUKI Alilazwa hapo kwa wiki mbili ambapo alikua anasubiri kupata urahisi wa kusafiri kurudi India kwenye matibabu ambayo alipangiwa kurudi tena december 2012.


Dinno ambae ni rafiki wa karibu wa Sajuki ameiambia millardayo.com kwamba tatizo kubwa lililomzuia Sajuki kurudi India ni pumzi ambapo walikua wanatafuta ndege yenye huduma ya gesi.


Baada ya kuhangaika sana, dakika za mwisho ndio walikua wamepata ndege ambayo imekubali kutoa huduma ya gesi kwa Sajuki ambapo Shirika la ndege la Emirates ndio lilikua limekubali kutoa huduma hiyo kumsafirisha mpaka India.


Sajuki alikua na tatizo kubwa la kupumua wakati huu ambapo Dinno amethibitisha kwamba upumuaji wake ulikua unabadilika mara kwa mara.

Taarifa ambazo zimeridhiwa na maamuzi ya familia na ndugu wa karibu, zinasema marehemu Juma Kilowoko aka Sajuki atazikwa siku ya ijumaa katika makaburi ya Kisutu.


Marehemu Sajuki alizaliwa mwaka 1986 mkoani Ruvuma na ameacha mke na mtoto mmoja wa kike.


Msanii wa vivhekesho, Mtanga (kushoto) akiwa na waombolezaji wengine katika msiba wa Sajuki leo Januari 2, 2013.







Piga pale...! Sajuki (kulia) akiwa katika maandalizi ya filamu yake mojawapo kali wakati wa enzi za uhai wake

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad