Mabingwa watetezi wa FA Cup Chelsea waivuruga Southampton Bao 5-1 kwenye Mechi ya Raundi ya 3 na kuingia Raundi ya 4. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, January 06, 2013

Mabingwa watetezi wa FA Cup Chelsea waivuruga Southampton Bao 5-1 kwenye Mechi ya Raundi ya 3 na kuingia Raundi ya 4.


Demba Ba
Mabingwa watetezi Chelsea wameanza vyema utetezi wao kwa kuivurumisha Southampton Bao 5-1 kwenye Mechi ya Raundi ya 3 ya FA Cup iliyochezwa nyumbani kwa Southampton.



Aidha raund ya 3 ya FA CUP Januari 5,2013 imeshuhudia Timu za Ligi Kuu Uingereza Aston Villa, Reading, Manchester  City, Norwich, Chelsea na Spurs zikisonga kuingia Raundi ya 4 huku Sunderland, Stoke, Fulham, QPR, West Brom na Wigan zikiambulia sare na itabidi kucheza Mechi za marudiano lakini Newcastle walipata aibu kwa kubwagwa nje walipofungwa 2-0 na Brighton inayocheza Daraja la chini.






Robin van Persie

Jumamosi Januari 5,2013.
 

Brighton 2 Newcastle 0

Crystal Palace 0 Stoke 0

Tottenham 3 Coventry City 0


Wigan 1 Bournemouth 1


Fulham 1 Blackpool 1

Aston Villa 2 Ipswich 1

Charlton 0 Huddersfield 1


Macclesfield 2 Cardiff 1

Barnsley 1 Burnley 0

Manchester City 3 Watford 0

Leicester 2 Burton 0

Millwall 1 Preston 0


Derby 5 Tranmere 0

Crawley 1 Reading 3

Aldershot 3 Rotherham 1

Middlesbrough 4 Hastings 1

Oxford 0 Sheffield United 3

Southampton 1 Chelsea 5


QPR 1 West Brom 1

Peterborough 0 Norwich 3

Bolton 2 Sunderland 2

Nottingham Forest 2 Oldham 3

Hull 1 Leyton Orient 1

Blackburn 2 Bristol City 0

Leeds 1 Birmingham 1

Southend 2 Brentford 2

Luton 1 Wolves 0

Sheffield Wednesday 0 MK Dons 0

West Ham 2 Manchester United 2


Jumapili Januari 6


Swansea v Arsenal [SAA 10 na Nusu Jioni]

Mansfield v Liverpool [SAA 1 Usiku]


Jumatatu Januari 7

Cheltenham v Everton [SAA 4 Dak 45 Usiku]

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad