Watu
tisa wamekufa , kumi na wawili hawajulikani walipo na sitini na wanne
wameokolewa baada ya boti ya Mv Yarabi Tunusuru Waliyokuwa wakisafiria katika
ziwa Tanganyika kutoka Kirando mkoani Rukwa kwenda Kongo DRC kupitia kupinduka
na kuzama katika Kijiji cha Herembe wilayani Uvinza mkoani Kigoma Ijumaa usiku.
Source
ITV.
No comments:
Post a Comment