![]() |
Lionel Messi |
YEAR | WINNER | CLUB | COUNTRY |
2012 | Lionel Messi | Barcelona ![]() |
Argentina ![]() |
2011 |
Lionel Messi | Barcelona ![]() |
Argentina ![]() |
2010 | Lionel Messi | Barcelona ![]() |
Argentina ![]() |
2009 | Lionel Messi | Barcelona ![]() |
Argentina ![]() |
2008 | Cristiano Ronaldo | Manchester United ![]() |
Portugal ![]() |
![]() |
ASILIMIA ZA
KURA:
Messi: 41.6%
Ronaldo:
23.7%
Iniesta:
10.9%
|
Kufuatia
ushindi wa Lionel Messi jana kwa kunyakua tuzo ya nne mfululizo ya Ballon d'Or,
wachezaji wa Barca sasa wameshinda tuzo mara nyingi kuliko timu nyingine
duniani - wakishinda mara 10.
Club za Juventus na
AC Milan, wapo nafasi ya pili wakiwa na washindi wanane kila timu moja ili hali Club ya Real Madrid wametoa washindi sita na Bayern
Munich wanafunga 5 bora kwa kutoa washindi watano.
![]() |
5 bora ya Ballon d'Or |
Gwiji Luis
SuĂ¡rez alikuwa mchezaji wa kwanza FC Barcelona kushinda tuzo ya Ballon d'Or
mwaka 1960. Aliyefuatia alikuwa Johan Cruyff aliyeshinda mara mbili (1973 na
1974) na mwaka 1994 Hristo Stoichkov akaongeza nyingine. Miaka mitano baadae,
mwakak 1999, Rivaldo akashinda tuzo na kuwafanya Barca iwe imetoa washindi
watano. 2005 Ronaldinho akaongeza idadi.
![]() |
Mourinho,
Guardiola , Del Bosque
|
LISTI KAMILI
YA WASHINDI
FIFA/FIFPro
KIKOSI BORA DUNIANI 2012
KIPA: Iker
Casillas
MABEKI: Dani
Alves, Gerard Pique, Sergio Ramos, Marcelo.
VIUNGO: Xabi
Alonso, Xavi, Iniesta.
MAFOWADI:
Messi, Falcao, Ronaldo.
**WOTE
WANATOKA TIMU 3: Real Madrid, Barcelona & Atletico Madrid.
FIFA KOCHA
BORA DUNIANI-WANAWAKE 2012
- Pia
Sundhage [Kocha wa USA]
FIFA KOCHA
BORA DUNIANI-WANAUME 2012
-Vicente Del
Bosque [Kocha wa Spain]
FIFA TUZO YA
RAIS 2012
-Franz
Beckenbauer [Germany]
FIFA TUZO YA
UCHEZAJI WA HAKI 2012
-Shirikisho
la Soka la Uzbekistan
FIFA TUZO YA
PUSKAS [GOLI BORA] 2012
-Miroslav
STOCH (Fenerbahçe-GençlerbirliÄŸi, 3 Machi 2012)
FIFA
MCHEZAJI BORA DUNIANI-WANAWAKE 2012
-Abby
WAMBACH [USA]
FIFA Ballon
d’Or [MCHEZAJI BORA DUNIANI 2012]
-Lionel
MESSI, Argentina
No comments:
Post a Comment