Watu wawili wamepoteza maisha na wengine 11 kujeruhiwa vibaya baada ya lori kugonga na kuparamia Hiace mbili kwa wakati mmoja katika eneo la njia panda Itende jijini Mbeya. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, December 07, 2012

Watu wawili wamepoteza maisha na wengine 11 kujeruhiwa vibaya baada ya lori kugonga na kuparamia Hiace mbili kwa wakati mmoja katika eneo la njia panda Itende jijini Mbeya.


Gari aina ya hiace Daladala mbili  zimegongwa na Roli  aina ya Lelyand Daf ambalo lilifeli breki  hivyo kwenda kuparamia daladala hizo ambazo zilikuwa zinashusha abiria kwenye kituo cha njia panda itende jijini Mbeya yaani barabara kuu iendayo Tunduma.




Hili ndilo Roli lililogonga Hiace zote mbili dereva wa roli hilo kakimbia



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad