Hizi ndizo timu 16 za mtoano wa UEFA na Droo ya kupanga Ratiba yake itafanyika Desemba 20 mwaka huu huku matokeo yakiwafanya Chelsea kuwa Mabingwa wa kwanza watetezi kutolewa kwenye hatua ya Makundi. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, December 06, 2012

Hizi ndizo timu 16 za mtoano wa UEFA na Droo ya kupanga Ratiba yake itafanyika Desemba 20 mwaka huu huku matokeo yakiwafanya Chelsea kuwa Mabingwa wa kwanza watetezi kutolewa kwenye hatua ya Makundi.


Oscar of Chelsea FC scores

their sixth goal during the UEFA

Champions League group

stage match against FC Nordsjælland
Waliokuwa Mabingwa wa Ulaya, Chelsea ya Uingereza wametupwa nje ya mashindano hayo ya  UEFA CHAMPIONS LIGI licha ya kuitandika timu ya Nordsjælland mabao 6-1 na kumaliza Mechi katika Kundi E wakiwa nafasi ya 3 baada ya Juventus kuifunga Shakhtar Donetsk Bao 1-0 na Kuongoza kundi lao  huku Shakhtar wakikamata nafasi ya pili, matokeo ambayo yamewafanya Chelsea kuwa Mabingwa wa kwanza watetezi kutolewa kwenye hatua ya Makundi.




Jumatano Desemba 5.




Shakhtar Donetsk 0 Juventus 1



Chelsea 6 Nordsjælland 1



Lille 0 Valencia 1



Bayern München 4 BATE Borisov 1



Barcelona 0 Benfica 0



Celtic 2 Spartak Moskva 1



Manchester United 0 CFR 1907 Cluj 1



Braga 1 Galatasaray 2





No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad