Ligi za Ulaya Bayern ,Barcelona, Juventus zamaliza mzunguko wa kwanza kileleni. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, December 17, 2012

Ligi za Ulaya Bayern ,Barcelona, Juventus zamaliza mzunguko wa kwanza kileleni.

Ligi kuu soka ya Ujerumani , BUNDESLIGA imefikia mzunguko wa kwanza  kwa  timu ya  Bayern Munich kumaliza wakiwa kileleni  kwa Pointi  9 mbele ya Timu ya Pili, Bayer Lervekusen, wakati huko Hispania  na Italia , Ligi zikiwa zinaelekea  mapumzikoni  ya  sikukuu za  Krismas na Mwaka mpya, Vinara wa La Liga, FC Barcelona, wao wamejihakikishia kubaki juu Mwaka huu na vile vile Juventus kwenye Serie A.


Jana jumapili Desemba 16,2012  katika uwanja wa  Nou Camp, Radamel aliipatia Atletico Madrid bao la kuongoza lakini Barcelona walizinduka na kupiga  Bao 4  kupitia kwa Adriano, Busquets na Lionel Messi Bao mbili.


Wakati Barcelona wakipaa kileleni zaidi, Mahasimu wao Real Madrid walibanwa vilivyo na Espanyol, Timu ambayo inashikilia nafasi ya 19 ikiwa ni nafasi moja tu juu ya Timu ya mkiani, walipotoka sare ya 2-2  katika uwanja wao wa nyumbani wa Santiago Bernabeu.


Lionel Messi
LA LIGA - MSIMAMO
[Kila Timu imecheza Mechi 16]
1 Barcelona Pointi  46


2 Atletico Madrid  Pointi  37


3 Real Madrid  Pointi  33

4 Malaga Pointi  28


5 Levante  Pointi  27


6 Real Betis  Pointi  25


7 Getafe  Pointi  24

RATIBA/MATOKEO.


Jumamosi Desemba 15 

Getafe CF 1 Osasuna 1

Real Mallorca 0 Athletic de Bilbao 1

Granada CF 0 Real Sociedad 0


Jumapili Desemba 16 


Sevilla FC 0 Malaga CF 2

Real Zaragoza 0 Levante 1
 
Valencia 0 Rayo Vallecano 1

Real Madrid CF 2 RCD Espanyol 2

FC Barcelona 4 Atletico de Madrid 1


Jumatatu Desemba 17 


22:00 Deportivo La Coruna v Real Valladolid

23:30 Celta de Vigo v Real Betis

Alhamisi Desemba 20


22:00 Rayo Vallecano v Levante



Ijumaa Desemba 21


0:00 RCD Espanyol v Deportivo La Coruna
 
0:00 Real Sociedad v Sevilla FC

2200 Valencia v Getafe


Jumamosi Desemba 22


0:00 Atletico Madrid v Celta Vigo

1800 Real Betis v Real Mallorca

2000 Real Valladolid v FC Barcelona

2200 Malaga v Real Madrid

2200 Osasuna v Granada


Jumapili Desemba 23


Athletic Bilbao v Real Zaragoza

**LIGI MAPUMZIKONI HADI JANUARI 6.


Jumapili Januari 6 



3:00 FC Barcelona v RCD Espanyol


3:00 Celta de Vigo v Real Valladolid


3:00 Deportivo La Coruna v Malaga CF


3:00 Real Mallorca v Atletico de Madrid


3:00 Real Madrid CF v Real Sociedad


3:00 Rayo Vallecano v Getafe CF


3:00 Sevilla FC v Osasuna


3:00 Real Zaragoza v Real Betis


3:00 Levante v Athletic de Bilbao


3:00 Granada CF v Valencia




Juventus
SERIE A - MSIMAMO
[Kila Timu imecheza Mechi 17]


1 Juventus  Pointi  41


2 Inter Milan Pointi  34


3 Napoli  Pointi  33


4 SS Lazio  Pointi  33


5 Fiorentina  Pointi  32


6 AS Roma  Pointi  29


7 AC Milan  Pointi  27


8 Catania  Pointi  25


RATIBA/MATOKEO:
Jumamosi Desemba 15 


Udinese 1 Palermo 1

SS Lazio 1 Inter Milan 0


Jumapili Desemba 16


Fiorentina 4 Siena 1


AC Milan 4 Pescara 1
 

Chievo Verona 1 AS Roma 0


Juventus 3 Atalanta 0


Parma 4 Cagliari 1


Genoa 1 Torino FC 1


Catania 3 Sampdoria 1


Napoli 2 Bologna 3


Ijumaa Desemba 21


20:00 Pescara v Catania

22:45 Cagliari v Juventus


Jumamosi Desemba 22

14:30 Inter Milan v Genoa

17:00 Atalanta v Udinese

17:00 Bologna v Parma

17:00 Torino FC v Chievo Verona

17:00 Sampdoria v SS Lazio

17:00 Siena v Napoli

17:00 Palermo v Fiorentina

22:45 AS Roma v AC Milan


**LIGI MAPUMZIKONI HADI JANUARI 6


AC Milan v Siena


Chievo Verona v Atalanta


Juventus v Sampdoria


Lazio v Cagliari


Parma v Palermo


Udinese v Inter Milan


Napoli v AS Roma


Genoa v Bologna


Catania v Torino


Fiorentina v Pescara




Borussia Dortmund
BUNDESLIGA - MSIMAMO
[Kila Timu imecheza Mechi 17]


1 Bayern Munich Pointi 42


2 Bayer Leverkusen  Pointi  33


3 Borussia Dortmund  Pointi  30


4 Eintracht Frankfurt  Pointi  30


5 Freiburg  Pointi  26


6 Mainz  Pointi  26
 

7 Schalke  Pointi  25


8 Borussia Monchengladbach  Pointi  25


9 Stuttgart Pointi  25


RATIBA/MATOKEO:
Ijumaa Desemba 14


Bayern Munich 1 Borussia Mönchengladbach 1


Jumamosi Desemba 15


Bayer 04 Leverkusen 3 Hamburger SV 0


VfL Wolfsburg 0 Eintracht Frankfurt 2


FSV Mainz 3 VfB Stuttgart 1


SpVgg Gr. Fürth 1 FC Augsburg 1


Fortuna Dusseldorf 2 Hannover 1


Schalke 1 SC Freiburg 3


Jumapili Desemba 16 


TSG Hoffenheim 1 BV Borussia Dortmund 3
 
SV Werder Bremen 1 FC Nuremberg 1


**LIGI MAPUMZIKONI HADI JANUARI 18


Ijumaa Januari 18


22:30 Schalke 04 v Hannover 96


Jumamosi Januari 19


17:30 Bayer 04 Leverkusen v Eintracht Frankfurt


1730 Bayern Munich v SpVgg Gr. Fürth


17:30 VfL Wolfsburg v VfB Stuttgart


17:30 FSV Mainz 05 v SC Freiburg


17:30 TSG Hoffenheim v Borussia Mönchengladbach


20:30 SV Werder Bremen v BV Borussia Dortmund

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad