Cheki matokeo ya Ligi kuu soka Uingereza huku Arsenal ,Liverpool na Bingwa mtetezi Man City wakitakata vema dimbani. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, December 23, 2012

Cheki matokeo ya Ligi kuu soka Uingereza huku Arsenal ,Liverpool na Bingwa mtetezi Man City wakitakata vema dimbani.

Bao la faulo la Gareth Barry la Dakika ya 92 limeipa Manchester City ushindi Manchester City wa 1-0 dhidi ya Klabu ya mkiani Reading na kuwafanya wawe Pointi 3 tu nyuma ya vinara Manchester United.



Mbali ya Bao hilo la utata, Reading pia walipigia kelele Penati mbili walizonyimwa na Refa Mike Dean na matukio hayo yalimkera sana Meneja wa Reading Brian McDermott ambae alilalamika sana kuhusu Refa huyo na maamuzi yake.




MSIMAMO.


1 Man United Mechi 17 Pointi 42



2 Man City Mechi 18 Pointi 39



3 Arsenal Mechi 18 Pointi 30 [Tofauti ya Magoli 14]



4 Everton Mechi 18 Pointi 30 [Tofauti ya Magoli 8]



5 Tottenham Mechi 18 Pointi 30 [Tofauti ya Magoli 5]



6 WBA Mechi 18 Pointi 30 [Tofauti ya Magoli 4]



7 Chelsea Mechi 16 Pointi 29 [Tofauti ya Magoli 11]



8 Liverpool Mechi 18 Pointi 25 [Tofauti ya Magoli 4]



9 Stoke Mechi 18 Pointi 25 [Tofauti ya Magoli 2]



10 Norwich Mechi 18 Pointi 25 [Tofauti ya Magoli -7]



18 Wigan Mechi 18 Pointi 15 [Tofauti ya Magoli -15]



19 QPR Mechi 18 Pointi 10



20 Reading Mechi 18 Pointi 9



Jumapili 23 Desemba 2012



[SAA 10 na Nusu Jioni]

Swansea v Man United

[SAA 1 Usiku]

Chelsea v Aston Villa


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad