Basi la Ibony Royal Coach lapinduka Igunga mkoani Tabora. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, December 04, 2012

Basi la Ibony Royal Coach lapinduka Igunga mkoani Tabora.

Bus lilikuwa kwenye mwendo mdogo lakini kona kali kwenye barabara ya sekenke inayokarabatiwa. 


Tairi ikaingia korongoni likapinfuka

Bus lilikuwa kwenye mwendo mdogo lakini kona kali kwenye barabara ya sekenke inayokarabatiwa. 


Tairi ikaingia korongoni likapinfuka. Wasafiri wametoa mizigo wakisubiri usafiri mwingine. Bado hajulikani kama walikuwepo majeruhi.(Picha na www.radiokwizera.com)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad