Mabingwa Chelsea, Man United ugenini Jumanne ni katika Ligi ya Mabingwa Ulaya. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, October 02, 2012

Mabingwa Chelsea, Man United ugenini Jumanne ni katika Ligi ya Mabingwa Ulaya.



Leo Jumanne octoba pili Usiku ni  mwendelezo wa  Mashindano ya UEFA CHAMPIONZ LIGI na Timu za Uingereza  ambazo zitakuwa dimbani ni Mabingwa Chelsea na Manchester United, zote kucheza ugenini kwa Chelsea kuwa huko Denmark kuivaa Timu mpya FC Nordsjælland inayotoka Mji wa Farum wenye Wakazi 18,000 tu na Manchester United kucheza huko Bucharest, Romania na Timu yenye uzoefu CFR 1907 Cluj.


Wakati Manchester United walianza MECHI DEI 1 kwa ushindi katika Mechi yao ya Kundi H kwa kuitungua Galatasaray ya Uturuki kwa Bao  1-0, Mabingwa Chelsea wakiwa nyumbani Stamford Bridge waliutupa uongozi wa bao 2-0 na kwenda sare na Mabingwa wa Italy kwa bao 2-2.

Kundi E

    Juventus         v Shakhtar Donetsk       (saa 3:45) usiku

    Nordsjaelland    v Chelsea                    (saa 3:45) usiku


Kundi F

    Valencia      v Lille                                 (saa 3:45) usiku

    BATE Borisov  v  Bayern Munich         (saa 3:45) usiku

   
Kundi G
 
    Benfica        v Barcelona                       (saa 3:45) usiku

    Spartak Moscow v Celtic                       (saa 1:00) usiku

   
Kundi H

    CFR Cluj       v Manchester United        (saa 3:45) usiku

    Galatasaray    v Braga                            (saa 3:45) usiku



Jumatano Oktoba 3


FC Dynamo Kyiv v GNK Dinamo


FC Porto v Paris Saint-Germain FC


FC Schalke 04 v Montpellier Hérault SC


Arsenal FC v Olympiacos FC


RSC Anderlecht v Málaga CF


FC Zenit St. Petersburg v AC Milan [SAA 1 Usiku]


Manchester City FC v Borussia Dortmund


AFC Ajax v Real Madrid CF


Mechi zote Saa 3 Dakika 45 Usiku .


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad