NI Mechi 1,000 Sir Alex, NI Hetitriki Van Persie na Furaha kwa mashabiki wa Man United. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, September 02, 2012

NI Mechi 1,000 Sir Alex, NI Hetitriki Van Persie na Furaha kwa mashabiki wa Man United.


 Southampton 2 Man United

Kocha wa Manchester United Sir Alex Ferguson leo ameweka historia kubwa ya kuwa Meneja wa kwanza kuongoza Klabu katika Mechi 1,000 za Ligi, tena Klabu moja tu, na pia amethibitisha kumnunua Robin van Persie hakufanya makosa baada ya Mchezaji huyo kupiga Hetitriki  licha ya pia kukosa Penati, na kuwapa ushindi Manchester United dhidi ya Southampton, ushindi ambao ni mtamu sana kwao kwa vile walikuwa nyuma kwa Bao 2-1 huku Dakika zimebaki 3 tu.

MAGOLI.

Southampton.

-Lambert, 16
-Schneiderlin, 55

Man United.

-Robin van Persie, 23, 87 na 90.


Hata hivyo presha ya Dakika za mwisho na umahiri wa umaliziaji wa Robin van Persie ndio uliwapa ushindi Man United.


 



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad