Yanga yawasilisha majina 28 ya wachezaji wao waliosajiliwa msimu huu wa soka 2012/2013. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, August 15, 2012

Yanga yawasilisha majina 28 ya wachezaji wao waliosajiliwa msimu huu wa soka 2012/2013.

Klabu ya soka ya Yanga ya Dar es salaam imewasilisha jumla ya majina ya wachezaji  28 kwa shirikisho la soka nchini TFF, kwa ajili ya msimu mpya wa ligi kuu nchini inayotazamiwa kuanza mapema septemba mosi mwaka huu.

 

Katibu mkuu wa Yanga  Mwesigwa Selestine amesema wamepeleka majina ya wachezaji wote 28 kwa ajili ya msimu mpya wa ligi kuu  na hii ni kutokana na benchi la ufundi kuridhia kuwatumia wachezaji wote.

 

Aidha katika usajili huo uliowasilishwa leo(August 15), umeambatana na usajili wa wachezaji wa timu ya vijana U-20 ambapo majina ya wachezaji mahiri wa timu ya Taifa Saimon Msuva na Frank Domayo.



 Usajili  kamili kwa timu ya wakubwa ni kama ifuatavyo:

 

Walinda Mlango:

 

Yaw Berko, Ally Mustafa 'Barthez' na Said Mohamed.


Walinzi wa pemebeni:

 

Shadrack Nsajigwa, Godfrey Taita, Juma Abdul, Oscar Joshua, David Luhende na Stephano Mwasika.

 

Walinzi wa kati:

 

Nadir Haroub 'Cannavaro', Kelvin Yondan, Mbuyu Twite, Ibrahim Job na Ladislaus Mbogo.

 

Viungo wa ulinzi:

 

Athuman Idd 'Chuji', Juma Seif Kijiko na Salum Telela.

 

Viungo wa pembeni:

 

Nizar Khalfani, Shamte Ally, Idrisa Rashid na Omega Seme.

 

Viungo washambuliaji:

 

Haruna Niyonzima, Rashid Gumbo na Nurdin Bakari.

 

Washambuliaji:

 

Said Bhanaunzi, Hamis Kiiza 'Diego', Didier Kavambagu na Jeryson Tegete

 

Majina hayo yanakamilisha jumla ya 28 ya wachezaji kwa timu ya wakubwa.

 

Kikosi cha U-20 kina jumla ya majina 22 ambao ni:

 

Walinda Mlango: Geofrey Nyalusi na Yusuf Abdul.

 

Walinzi: Said Manduta, Zuberi Juma, Said Mashaka, Benson Michael, Issa Ngao, Rashid Said.

 

Viungo: Frank Domayo, Omary Nasry, Clever Charles, Mwinyi Bakari, Mpenda Abdallah.

 

Washambuliaji wa pembeni: Abdulahman Ally, Hussein Moshi, Abdallah Salum, Rehani Kibingu.

 

Washambuliaji: Saimon Msuva, George Banda, Notikely Masasi, Suleiman Ussi, Kassim Jongo.

 

NB: Frank Domayo & Saimon Msuva usajili wao umepelekwa katika usajili wa U-20 lakini wataitumikia timu ya wakubwa.

 

www.youngafricans.co.tz

 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad