![]() |
|
Nyoka mwenye umbo la Ajabu.
|
Nyoka hawa wa ajabu
aina ya ‘atretochoana eiselti’ walipatikana kwenye bwawa la kuzalisha umeme
ambapo wakandarasi walikuwa wakifanya ukarabati kwenye misitu ya Amazon.
Wana baiolojia
waliwapata nyoka hawa wenye umbo la ajabu sita wenye urefu wa mita moja chini
ya mto Madeira huko Rondonia, Brazil.
![]() |
|
Wanasayansi wamesema
licha ya viumbe hao kuonekana kama nyoka lakini sio jamii ya reptilia.
Aidha Mara ya kwanza waligunduliwa America ya Kusini mwaka
1968.
|
![]() |
|
Nyoka huyo anaweza akawa na muonekano
usiopendeza katika jamii, lakini huu ni ugunduzi unaovutia kwa wanayasansi
wanaomini kuwa wanauhusiano na vyura.
|








No comments:
Post a Comment