![]() |
Cristiano Ronaldo Dos Santos Aveiro |
Hii ilikuwa ‘El Clasico’ ya kwanza kwa Meneja mpya wa Barca, Tito Vilanova, na ametoka mbabe lakini bila shaka ipo kazi kubwa katika Mechi ya maruduano.
Hadi mapumziko bao zilikuwa 0-0 na ndipo mchezaji Ronaldo ndie aliefunga bao la kwanza kwa Real Madrid kwa kichwa kufuatia kona ya Ozil lakini Barcelona walisawazisha Dakika moja baadae kwa bao la Pedro ambae alipokea ndefu kutoka kwa Mascherano mara tu baada ya mpira kuwekwa kati baada ya Barca kufungwa.
![]() |
| Ronaldo |
![]() |
| Lionel Messi |
Bao la pili la Barcelona lilifungwa kwa Penati ya Lionel Messi baada ya Iniesta kuangushwa na Ramos ndani ya boksi na Barca wakapiga bao la 3 kupitia Xavi.
Lakini zikiwa zimesalia Dakika 5 mpira kwisha Kipa wa Barcelona Valdes alifanya makosa makubwa pale aliporudishiwa mpira na kujaribu utaalam wa kumzunguka Angel Di Maria lakini Mchezaji huyo wa Real Madrid akaunasa mpira na kufunga.
![]() |
| Angel Di Maria |
![]() |
| Kocha
Tito Vilanova. Barcelona: Valdes, Alves, Pique, Mascherano, Adriano, Busquets, Xavi, Iniesta, Alexis, Messi, Pedro. Akiba: Fabregas, Puyol, Villa, Pinto, Jordi Alba, Sergi Roberto, Tello. |
![]() |
| Real Madrid coach Jose Mourinho believes that the linesman made a “big mistake” by allowing Pedro’s goal to stand during his side’s 3-2 defeat to Barcelona in the first leg of their Supercopa tie. |













No comments:
Post a Comment