Moto wateketeza mabasi mawili, semi-trela mbili na lori moja Dar es salaam > Magari hayo yalikuwa yameegeshwa kwenye gereji moja maeneo ya Sokota pembeni mwa Barabara ya Mandela iendayo bandarini. Hakuna aliyejeruhiwa. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, July 07, 2012

Moto wateketeza mabasi mawili, semi-trela mbili na lori moja Dar es salaam > Magari hayo yalikuwa yameegeshwa kwenye gereji moja maeneo ya Sokota pembeni mwa Barabara ya Mandela iendayo bandarini. Hakuna aliyejeruhiwa.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad