Waziri wa Maji na Umwagiliaji
Mhandisi Isaack Kamwelwe akisisitiza jambo kwa wataalamu alipotembelea mradi wa
maji Iyula halmashauri ya Mbozi, kushoto kwake ni Kaimu Katibu Tawala Msaidizi
Sehemu ya maji Mkoa wa Songwe Mhandisi Tanu Deule.
Kwa Upande
wao Wananchi wameiomba Serikali kuwepo kwa uwazi na ushirikishwaji katika hatua
zote za ujenzi wa miradi tangu hatua ya usanifu ili kujenga uelewa juu ya
miradi hiyo na kuondoa Migogoro.
Ujenzi wa
miradi ya maji ya Iyula, Itaka na Tunduma inatarajiwa kutoa huduma ya maji kwa
wananchi takribani laki moja ambao watakuwa wanapata maji kwa umbali usiozidi
mita 400 sawa na mwongozo wa sera ya maji ya mwaka 2002.
|
Wednesday, May 23, 2018
![](https://1.bp.blogspot.com/-7Kd9qaiRHuA/WaEtZyc70TI/AAAAAAAADsA/7WUYBVoY-UwwjdEP3kDFPvH9htN0dDKgQCLcBGAs/s1600/demo-image.jpg)
Waziri Kamwelwe – ‘’Wahandisi wavivu Miradi ya Maji Kufukuzwa”
Tags
# SIASA
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
SIASA
Labels:
SIASA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.
No comments:
Post a Comment