![]() |
Timu ya UMISETA
2018 wilayani Ngara Kagera ikiagwa na Mkuu wa wilaya hiyo Luten Kanali Michael Mtenjele tayari kwenda
kupambana na timu nyingine za wilaya za Mkoa wa Kagera.
![]() |
![]() |
Mashindano
hayo yatahusisha michezo mbalimbali na yatafanyika katika viwanja vya Chuo cha
Ualimu Katoke wilayani Muleba.
Luten Kanali
Mtenjele akiongea na Vijana hao
,amewataka kutunza Nidhamu na Afya zao kwani ni Vitu vitakavyo wafanya kukuza Vipaji vyao
na kupata Maendeleo endelevu katika Michezo.
![]() |
No comments:
Post a Comment