
![]() |
|
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua
mbegu na mbolea inayotumika katika mashamba hayo ya miwa ya Kiwanda cha Sukari
cha Kagera Sugar kilichopo Misenyi mkoani Kagera.
|
![]() |
|
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua
baadhi ya mashamba hayo ya miwa ya Kiwanda cha Kagera Sugar kilichopo Wilayani
Misenyi mkoani Kagera.
|
![]() |
|
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha
ya pamoja katika Mashamba hayo ya miwa na viongozi wa Kiwanda hicho cha Sukari
cha Kagera Sugar, Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu wa
kwanza kulia akifatiwa na Waziri wa Kilimo Dkt. Charles Tizeba na Waziri wa
Viwanda Charles Mwijage wa kwanza kulia.
|
![]() |
|
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwasikiliza wananchi wa Misenyi wakati wakitoa kero zao mbalimbali mara baada
ya kuwasili.
|

![]() |
|
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na wafanyakazi (Vibarua) wanaofanyakazi katika Kiwanda cha Sukari cha Kagera
Sugar wakati akielekea kiwandani hapo.
PICHA NA IKULU
|
![]() |
|
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokewa
kwa shangwe na Mamia ya wananchi wa Misenyi mara baada ya kuwasili Wialayani
hapo akitokea Bukoba mjini.
|












No comments:
Post a Comment