![]() |
Maendeleo ya
Ujenzi wa Daraja la Waenda kwa Miguu la Furahisha, Mkoani Mwanza ambalo ujenzi
wake umekamilika kwa % 99.7 .
|
![]() |
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Tanzania, Profesa Makame Mbarawa wa pili kushoto akikagua Ujenzi huo wa Daraja la Waenda kwa Miguu la Furahisha. |
![](https://1.bp.blogspot.com/-rJeib-0SYv4/WW0bgm_-alI/AAAAAAABELY/DT7sDcjX9YcpJWFS1Kfb5UC3ZRu3zaq2wCLcBGAs/s640/20046462_1548800255159879_5679818463634392127_n.jpg)
No comments:
Post a Comment