Amewataja
waliofariki dunia ni Gidaguy Samo (65) mkazi wa Kijiji cha Basodesh, Josephina
Nade (45) mkazi wa Kijiji cha Gdihim na Neema Petro Amma (25) mkazi wa kijiji
cha Haydarer wilayani Mbulu.
Mkuu huyo wa
wilaya amesema miili ya marehemu imehifadhiwa kwenye Hospitali ya Rufaa ya
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Haydom na majeruhi hao 24
wanaendelea kupatiwa matibabu kwenye hospitali hiyo.
Amesema watu
27 walipokelewa kwenye hospitali hiyo, watatu walifariki dunia, kati ya 24
walio majeruhi, wawili bado hawajapata fahamu.
“Majeruhi
wanaoendelea kupata matibabu ni Sulemani Hussein, Samweli Zacharia, Katarina
Daniel, Loth Baha, Captolina Lohay, Daniel Sanja, Felistiani Anthony na Dengu
Matle,” amesema
Amewataja
majeruhi wengine ni Julieth Lowry, Grace Tumaini, Fanuel Thomas, Sabrina
Thomas, Hagai Daniel, Edward Petro, na Olivery Fuumay.
"Majeruhi
wengine ni Gersael Akonaay, Sese Gwayadesh, na Daniel Gilengana" amesema
Mofuga.
Majeruhi
wengine hawakuweza kufahamika mara moja majina yao.
|
Friday, June 16, 2017
Picha- Basi limetumbukia Darajani na Kaua watatu, 24 wajeruhiwa Haydom.
Tags
# MATUKIO
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
MATUKIO
Labels:
MATUKIO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.
No comments:
Post a Comment