FAHAMU:
Hii ni mara
ya 3 kwa Tanzania kucheza Mashindano haya baada ya kushiriki yale ya 1997 na
2015.
Kundi B la
Mashindano la 2017 COSAFA Castle Cup lina Nchi za Zimbabwe, Madagascar,
Mozambique na Seychelles.
Nchi
Wanachama wa COSAFA, South Africa, Swaziland, Botswana na Zambia wataanzia
Hatua ya Robo Fainali ambapo South Africa itacheza na Mshindi wa Kundi A na
Swaziland kucheza na Mshindi wa Kundi B wakati Botswana ikivaana na Zambia.
Mashindano
ya COSAFA yalianzishwa Mwaka 1997 na Nchi za South Africa, Zambia na Zimbabwe
kubeba Kombe mara 4 kila moja wakati Angola ikibeba mara 3 na Namibia mara
|
Wednesday, June 28, 2017
Home
MICHEZO
COSAFA Castle Cup 2017- Tanzania Kinara Kundi A kwenda robo fainali ikiifunga Mauritius Alhamisi.
COSAFA Castle Cup 2017- Tanzania Kinara Kundi A kwenda robo fainali ikiifunga Mauritius Alhamisi.
Tags
# MICHEZO
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
MICHEZO
Labels:
MICHEZO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.
No comments:
Post a Comment