Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amefanya mabadiliko
madogo kwenye Baraza lake la Mawaziri leo Machi 23, 2017.
Katika mabadilikom
hayo, Rais Magufuli amemuondoa kwenye Uwaziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo, Nape Moses Nnauye ambaye nafasi yake imejazwa na Dkt. Harrison
Mwakyembe.
Nape Moses Nnauye.
Hapa Chini Soma Taarifa
ya Ikulu.
|
No comments:
Post a Comment