Taarifa za awali toka kwa Kamanda wa kikosi cha usalama mkoa wa Iringa - RTO IRINGA ajali hiyo imesababisha Majeruhi 6 ambao wamelazwa Iringa Referral Hospital, kati yao Wanawake 2 na Mwanaume 1 ambaye anapata matibabu Itunda ilula.
No comments:
Post a Comment