Ajali hii imetokea jana February 24,2017 mjini Bukoba eneo
la Rwamishenye muda wa SAA 10 jion ambapo Basi la Wanafunzi wa shule ya
Rweikiza ( lilipata ajali kwa kufeli break na kuparamia baadhi ya Waendesha Pikipiki,Washona
viatu na Wafanya Biashara.
Vifo vya watu wa4
wamepoteza maisha papo apo na wengine kujeruhiwa huku Wanafunzi waliokuwa ndani ya gari hilo namba T 377 BZW aina ya EICHER mali ya RWEIKIZA ENGLISH
MEDIUM wakisalimika.
|
No comments:
Post a Comment