UPDATE:Tumia Hii Link kuyatazama Matokeo Kidato cha Nne mwaka 2016 . - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, January 31, 2017

UPDATE:Tumia Hii Link kuyatazama Matokeo Kidato cha Nne mwaka 2016 .

Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha nne mwaka 2016 ambapo umefaulu wa jumla umeongezeka kwa 2.56% kutoka 67.53% mwaka 2015 hadi 70.09% mwaka 2016.

Tovuti ya Necta imeelemewa Kidogo. Tumia Hii Link Hapa chini Kuyatazama Matokeo.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad