Taswira Picha Treni ya kwanza na yenye kasi zaidi barani Afrika. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, January 20, 2017

Taswira Picha Treni ya kwanza na yenye kasi zaidi barani Afrika.

Taarifa iliyotolewa leo,Ijumaa January 20 2017 imeeleza kuwa treni ya kwanza na yenye kasi zaidi barani Afrika itaanza kutumika Nchini Morocco.

Treni hiyo ina uwezo wa kuzimaliza kilometa 321 kwa saa ambapo kwa harakaharaka ingekua Tanzania inaweza kufika Arusha ikitokea Dar Es Salaam kwa dakika zisizofika 120.
Pesa iliyotumika kwenye huu mradi ni Dola za kimarekani BILIONI 2, ni pesa ndefu ambayo imepatikana baada ya mradi huo kuwekewa mikono na nchi 6, Serikali ya Morocco yenyewe, Ufaransa, Saudi Arabia, Kuwait, na UAE.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad