Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi mara
baada ya kuweka jiwe la msingi katika Kituo cha Afya cha Kabyaile Misenyi
Mkoani Kagera.
|
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe
kuashiria kuanza kwa ujenzi wa Kituo cha Afya cha Kabyaile Misenyi Mkoani
Kagera. Wengine katika picha ni Waziri wa Viwanda na Biashara Charles Mwijage,
Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge
Vija Ajira na Wenye Ulemavu Jenista Mhagama pamoja na Waziri wa Elimu Profesa
Joyce Ndalichako wakiwa wameshika utepe huo.
|
Pichani juu na chini Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua maeneo ya
ujenzi wa kituo hicho cha Afya cha Kabyaile kilichopo Misenyi mkoani Kagera.
|
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
wananchi katika eneo la mradi wa ujenzi wa kituo hicho cha Afya cha Kabyaile
kilichopo Misenyi mkoani Kagera.
|
Taaswira ya
moja ya jengo katika mradi huo wa kituo cha Afya cha Kabyaile kilichopo Misenyi
mkoani Kagera.
PICHA NA IKULU
|
No comments:
Post a Comment