Ligi Taifa Daraja la 3 mkoani Kagera-Yafahamu Makundi/Timu shiriki na Ratiba ya Mechi kituo cha Karagwe na Bukoba Mjini. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, January 09, 2017

Ligi Taifa Daraja la 3 mkoani Kagera-Yafahamu Makundi/Timu shiriki na Ratiba ya Mechi kituo cha Karagwe na Bukoba Mjini.


Ligi hiyo iliendelea Jana Jumapili January 08,2017 –uwanja wa Kaitaba/Bukoba kwa Kagera United/Manispaa dhidi ya Bingwa mtetezi-Murusagamba FC/Ngara  na kutoka sare ya 0-0  huku mchezo wa saa 10 ukiwa kati ya Vatican FC/Muleba dhidi ya Halmashauri FC/Misenyi ,ukishindwa kuchezwa-Mechi zote kutoka Kundi B.

Uwanja wa Kayanga /Karagwe-Benaco FC/Ngara  ilifungwa 2-1 na Chandimu FC/Manispaa huku Atukuzwe FC/Karagwe ilifungwa dhidi ya Kamachumu FC/Muleba,zote kutoka Kundi B.

Leo Jumatatu January 9, 2017,Uwanja wa Kaitaba Polisi Jamii kutoka Manispaa wanacheza dhidi ya Polisi Karegwe huku saa 10 jioni Ngara Boys kutoka Ngara watacheza dhidi ya Majengo FC kutoka Manispaa.
Leo Jumatatu January 9, 2017,Uwanja wa Kayanga/Karegwe- Polisi Kagera kutoka Manispaa wanacheza dhidi ya Nyaishozi FC ya Karagwe huku saa 10 jioni Ngara Stars kutoka Ngara watacheza dhidi ya Nzaza Stars kutoka Ngara pia.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad