Somo
lililofanyika vizuri zaidi ni Kiswahili ambapo asilimia 90.06 ya wanafunzi
wote, wamefaulu na soko lenye ufaulu wa chini zaidi ni Basic Mathematics ambapo
asilimia 21.55 wamefaulu.
Mwanafunzi
aliyefanya vizuri zaidi ni Teckla Erasmo Haule kutoka Canosa ya Dar es Salaam
akifuatiwa na Joseph Fabian Kalabwe wa Kwema Modern ya Shinyanga na Mirable
Rayner Matowo wa Canosa ya Dar es Salaam.
Katika
wanafunzi 10 bora kitaifa, wanafunzi 9 ni wasichana, na watano kati yao
wanatoka Feza Girls.
Matokeo ya
wanafunzi 31 yamefutwa baada ya kubainika kuwa walifanya udanganyifu.
==> Kuangalia Matokeo ya Darasa la Nne << Bofya Hapa>> ***** |
Monday, January 16, 2017
Kaizerege ya Mkoani Kagera yaongoza Matokeo ya Kidato cha Pili 2016.
Tags
# HABARI
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
HABARI
Labels:
HABARI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.
No comments:
Post a Comment